gazeti tandu gazeti tandu Author
Title: WAZILI NCHINI SOMALIA AFUKUZWA KAZI
Author: gazeti tandu
Rating 5 of 5 Des:
HINI SOMALIA ATIMULIWA mkuu wa taifa hilo Abdiweli Sheikh Ahmed mamlakani. Ni mara ya nne kwamba kura ya kutokuwa na imani dhidi ...

HINI SOMALIA ATIMULIWA


mkuu wa taifa hilo Abdiweli Sheikh Ahmed mamlakani.
Ni mara ya nne kwamba kura ya kutokuwa na imani dhidi yake ilipigwa baada ya majaribio ya awali kumalizika kwa ghasia.
Waandishi wanasema kuwa serikali ilikuwa imelemazwa na uhasama baina ya kiongozi huyo na rais wa taifa hilo Hassan Sheikh Mohamud.
Wanasema kuwa usalama ulikuwa umezorotoa kutokana na hali hiyo.
Abdiweli ni waziri mkuu wa pili kuwahi kuondolewa madarakani mwaka huu.
Marekani imeshtumu kura hiyo ikisema kuwa haikuzingatia maslahi ya raia wa Somali. 
CHANZO:BBC SWAHILI

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top