gazeti tandu gazeti tandu Author
Title: MESSI AMJIBU RONALDO
Author: gazeti tandu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya Ronaldo kufunga magoli 3 siku ya jana,Leo hii Leo Messi amejibu mapigo baada ya kufunga magoli 3 dhidi ya wapinzani wao wa ...


Baada ya Ronaldo kufunga magoli 3 siku ya jana,Leo hii Leo Messi amejibu mapigo baada ya kufunga magoli 3 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Espanyol.Messi alifunga magoli hayo matatu dakika ya 45,50 na 81.Magoli hayo 3 ya Messi yameisogeza Barcelona mpaka nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi kuu Spain inayoongozwa na Real Madrid.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top